Wednesday, 7 December 2016
Friday, 4 November 2016
MWANAMKE KUBALI YESU AKUHUDUMIE.
Winging ladie mwanza wakishirikiana na kamati ya maandalizi na mbeba maono Rose Shaboka wanakuletea semina ya kina mama na mabinti itakayo fanyika tarehe 22 na 23 mahali ni victoria palace hotel hakuna kiingilio isipokuwa 10000 tu kwa jili ya chakula chako njoo ujifunze jinsi ya kuwa binti na mwanamke wa tofauti wanenaji ni mbeba maono Rose shaboka kutoka Dar na Mwalimu Irene Mbowe toka Arusha
(Gospel News) Atosha Kissava aja na 4g ya featuring.
SARAH MVUNGI TOKA 2012.
Katika tasnia ya muziki wa injili ndani ya miaka hii miwili kumeonekana kuwa na mabadiliko makubwa ambapo waimbaji wengi wamekuwa wakijituma kwa kufanya video yenye kuendana na wakati tulionao na nikitu kilichowafanya waimbaji wengi kuwa bize sana na location lakini suala hilo limekuwa tofauti kwa upande wa mwimbaji Sarah Mvungi ambaye yeye ametuambia kuwa mara ya mwisho kwenda location na kusimama mbele ya camera kwa ajili ya kushoot ilikuwa mwaka 2012 wakati alipokuwa akifanya album yake ya Niacheni Nimfuate Yesu hadi sasa mwaka 2016 mwishoni haijui camera yeyote
FROLA MBASHA ABADILISHA JINA RASMI SOMA HAPA JINA LAKE JIPYA
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa injili aliyekuwa akifahamika kwa jina la Flora Mbasha week hii amebadilisha rasmi jina lake na kulitambulisha jina lake jipya la Madam Flora ambalo atakuwa akilitumia katika shughuli zake mbali mbali pamoja na brand yake ya kimuziki Pia Madam Flora amesema amekaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia kazi yeyote sasa ameamua kurudi rasmi na kwa sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Wakati Wake ambao unafanya vizuri katika media mbali mbali za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania
Sunday, 16 October 2016
JOSHUA MAKONDEKO AWAJIA JUU CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI,NI BAADA YA KUTOONEKANA KWENYE MSIBA WA MKE WA JACKSON BENTY
Mwimbaji wa muziki wa Inili Tanzania, Joshua Makondeko ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha chama cha muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) makao makuu kutoonyesha ushirikiano kwa mwimbaji Jackson Benty ambaye siku chache zilizopita amefiwa na mke wake, Winnie Jackson Benty.
Kupitia ukarasa wake wa facebook, Makondeko ameeleza jinsi yeye na waimbaji wachache kama Dunstan Mtoi naEmanuel Mabisa walivyojitoa na kwenda kwenye mazishi ya mke wa mwimbaji huyo huku uongozi wa chama hicho kwa upande wa makao makuu wakitoa ushirikiano hafifu.
Kwa upande mwingine Joshua Makondeko amepongeza wanachama wa chama hicho kanda ya kaskazini kwa kuwa mstari wa mbele kwenye msiba huo na kuongeza kuwa hata mwimbaji Stella Joel (katibu mwenezi wa CHAMUITAmakao makuu) alipofiwa na mume wake watu wa kanda ya kaskazini walishiriki kikamilifu tofauti na makao makuu walivyoshiriki kwa Benty ambaye yupo kanda ya kaskazini.
Hivi ndivyo Makondeko alivyoandika kwenye ukarasa wake wa facebook..
“Kwa Pamoja tulifanikiwa kumzika Mke wa Mwimbaji Mwenzetu Jackson Benty.
Kwa kujali dhana ya Upendo na Umoja toka Moyoni,Mimi Emanuel Mabisa na Dastan Mtoi tuliamua Kuwawakilisha Waimbaji wote Tz Nzima kwa garama zetu,Japo kwa Uchovu Mwingi bila Mapumziko ila Niliamua kuunganisha Arusha Usiku kwa Usiku.
Najiuliza swaLi: ~hivi ninini Kazi ya”” CHAMUITA” Makao Makuu??…Jukumu Lao ninini??..Ni Majungu,Wivu tu na Ugomvi??
Ikiwa msiba kama huu unatokea halafu responde na Responsible inakuwa hafifu hivyo??…Japo Sitaki kuamini kama Waimbaji wana Tatizo la kutokufanya wanachoambiwa,ila Wanatarajia Maelekezo toka kwa wahusika na Uwajibikaji..Nakumbuka Mume wa Stella JoeL alivyokufa Waimbaji Kanda ya Kaskazini walitoa Mchango na wakatuma wawakilishi kuja knye Mazishi..Je ina Maana sisi ndio bora Zaidi Yao???Jukumu La Makao Makuu Liko Wapi???
Hongera nyingi na Shukrani kwa WanachaMuita Kanda ya Kaskazini, Uongozi wenu,Umoja wenu na Kujitoa kwenu, Tunauona, Tunaupenda na Inaleta ladha ya kuitwa wana Wa Lawi..Mtu asiwagombanishe wala Msiache Umoja huo. Mnastahili kuwa Makao Makuu Dar. Na wale wa Makao Makuu wapelekwe WiLayA ya Katavi..
Shukrani nyingi Waziri wa Mambo ya Ndani Rafiki yangu Mhe. MwiguLu Nchemba na Grace Product Nilipowaambia tu hamkusita kutuma rambirambi zanu.
#TutapitaKatikatiYaoNoLiMiT”

Sifaeli Mwabuka Awapa Tahadhari Mashabiki Wake
Tahadhari rasmi imetolewa na mwimbaji wa muziki wa injili Sifael Mwabuka a.k.a Heri Lawama kuwa anawaomba mashabiki na wadau wake wanaopenda kuwa karibu naye kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook wanatakiwa wawe makini kwa maana kuna baadhi ya watu wanatumia jina lake katika accounts zake hivyo amesema kuwa yeye facebook ana miliki accounts mbili tu ambazo ni Sifaeli Mwabuka na Sifaeli Mafarisayo hizo accounts nyingine sio zake.
NelsonMunyiAfanyaKolaboNaAmbweneMwasongwe
MSAMA KUSAMBAZA ALBUM YA MESS JACOB CHENGULA
SOMA HISTORIA YA MWIMBAJI NEEMA NG'ASHA
Ninaitwa Neema Ng'asha ni mzaliwa wa pili katika famili ya Ng'asha Clement,iliyopo jijini Mwanza.
Nilianza kuimba tangu nikiwa sunday school lakini mwaka 1998 nikiwa bado binti mdogo sana Mungu alinipika mafuta kwa njia ya ajabu sana nguvu ya Mungu ilinishukia kwa nguvu sana sitasahau siku hiyo niliimba sana.Baada ya hapo nilianza kutunga nyimbo nikaanzisha band niliyoiita Jerusalem Band nikiwa na dada yangu Martha Ng'asha Mtasha na vijana wengine pale kanisani.Baadaye mwaka 2001 nilihamia Dar-es-Salaam kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu.Mwaka 2009 baada ya kumaliza chuo niliingia studio nikarekodi album inayoitwa "USINIPITE MWOKOZI" baada ya kurekodi album hii nilipata changamoto nyingi sana katika huduma yangu na maisha kwa ujumla lakini nilimuoana Mungu akinitia nguvu sikukata tamaa.Album hii itakuwa katika mfumo wa video hivi karibuni.
Neema Ng'asha
Mwaka 2103 nilirekodi album ya pili inayoitwa
"TUNAE BWANA"ambayo iko tayari katika mfumo wa DVD unaweza kuangalia baadhi ya nyimbo you tube link http://youtu.be/huMa6b2jfRw na simu.TV.
Ninamshukuru Mungu amekuwa mwema sana kwangu kila iitwapo leo ninaona anazidi kunitia nguvu na kuongeza viwango vyangu.Nashukuru Mungu kwa familia yangu imekuwa ikinitia moyo kusonga mbele.Shauku ya moyo wangu ni kuona ninafikia nyanja ya kimataifa nizidi kuutangaza wema wa Mungu na matendo yake makuu.
Nina maono ya kuwasaidia vijana walio na huduma ya uimbaji maana najua na mimi Mungu alinipa hii huduma bado nikiwa mdogo sana nimekutana na changamoto nyingi za kukatishwa tamaa makanisani na changamoto za maisha lakini nilimlilia Mungu hata hapa nilipofikia leo Mungu amekuwa EBENEZA kwangu.
Neema Ng'asha Mwamba.

Subscribe to:
Posts (Atom)