Sunday, 16 October 2016

MSAMA KUSAMBAZA ALBUM YA MESS JACOB CHENGULA


Baada ya kukamilika kwa dvd ya "Moyo wangu hauna Uwoga" habari zilizopo chini ya kapeti zinasema kuwa uenda siku si nyingi kampuni kubwa ya usambazaji ya Msama Promotion itaingiza sokoni album ya mwimbaji maarufu wa muziki wa injili Mess Jacob Chengula, Hivyo wadau na wapenzi wa muziki wa injili wakae mkao wa kuipokea album ya Mess Jacob Chengula

No comments:

Post a Comment