Sunday, 16 October 2016

NelsonMunyiAfanyaKolaboNaAmbweneMwasongwe


Mwimbaji wa muziki wa injili Tanzania Nelson Munyi ambaye miaka kadhaa ya nyuma alikuwa akifanya vizuri kupitia nyimbo zake za Tutafika (Kaza mwendo) na Nitazamapo, Ameamua kurudi kivingine kwenye muziki kwa kumshirikisha mwimbaji Ambwene Mwasongwe kwenye nyimbo zilizopo kwenye album yake mpya iliyopewa jina la Asiye na Upendeleo ambayo itakuwa sokoni muda si mrefu itakuwa sokoni

No comments:

Post a Comment