Sifaeli Mwabuka Awapa Tahadhari Mashabiki Wake
Tahadhari rasmi imetolewa na mwimbaji wa muziki wa injili Sifael Mwabuka a.k.a Heri Lawama kuwa anawaomba mashabiki na wadau wake wanaopenda kuwa karibu naye kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook wanatakiwa wawe makini kwa maana kuna baadhi ya watu wanatumia jina lake katika accounts zake hivyo amesema kuwa yeye facebook ana miliki accounts mbili tu ambazo ni Sifaeli Mwabuka na Sifaeli Mafarisayo hizo accounts nyingine sio zake.
No comments:
Post a Comment