Mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa injili Luckson Daniel sasa hivi yupo kwenye harakati za kumalizia video za nyimbo zake Simama kwenye Zamu na Usichelewe ambazo zimekuwa zikikamata no.1 kwenye Top ten za radio tofauti tofauti ikiwemo Praise Power Radio.
No comments:
Post a Comment