Star wa muziki wa injili Atosha Kissava anayetamba na wimbo wake wa U mwema ameelezea baadhi ya mipango yake ambayo ameiandaa kwa mwaka 2017, Atosha amesema kuwa kati ya mipango aliyonayo ni kufanya kolabo za kutosha kwa waimbaji wa Tanzania na walio nje ya mipaka ya Tanzania hivyo wadau wake wakae tayari kwa ujio wa makolabo ya nguvu kutoka kwa Atosha Kissava
Atosha kisava namkubar san kweny nyimbo ana erimisha jamamii kifup nyimb zak zinapendez
ReplyDeleteFrank yose gmail, com googl
ReplyDelete